MANARA: TUTACHUKUA POINTI TATU DHIDI YA AZAM

by Harun, 4 months ago
0

Msemaji wa klabu ya Simba Sc ya jijini Dar es salaam, amewaomba mashabiki wa Simba kufika kwa wingi ili kuishabikia timu yao itakapokutana na Azam Fc hapo kesho