MAKONDA | 'Tukafurahie uwezo na ukubwa wa SIMBA pale Taifa'

by Harun, 4 weeks ago.
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewaalika wakazi wote wa jiji la Dar es salaam katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba vs Kagera Sugar ambapo ambapo Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakabidhi Kombe kwa mshindi wa ligi hiyo, Simba SC.