Kapombe awapagawisha mashabiki wamjaza mihela Taifa.

by Harun, 2 months ago
0

Mashabiki wa Simba wamkabidhi kitita beki wa Simba Shomari Kapombe baada kuonyesha mchezo mzuri kwenye mchezo wa ligi kuu Vpl Vodacom,mechi ambayo iliwakutanisha vinara wa ligi hiyo Simbasc vs Mbeya City ambapo Simba iliibuka na ushindi wa magoli matatu kwa moja.