MANARA :AGOMA KUMTOA NIYONZIMA KWENYE GARI

by Harun, 4 months ago
0

Msemaji mkuu wa simba haji manara amegoma kuongelea swala mchezaji haruna niyonzima leo kwenye uwanja wa boko veterani ambako timu ya simba ilikuwa inafanya mazoezi ya kuelekea kwenye mechi ya na klabu a al masy ya misri ambae alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeruhu