DJUMA:ATOA SABABU ZA KUTOWAFUNGA GOLI 10 AU 9 GENDEMARIE

by Harun, 5 months ago
0

SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya wazawa, kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji John Raphael Bocco na mshasmbulaiji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi – wazi Simba itakuwa na kazi nyepesi kwenye mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo Djibouti..Shutikali ni tovuti ya habari za michezo na burudani, habari za wachezaji wa soka na timu zao TanzaniaSUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL :https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ/videos?view_as=subscriberSUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL :https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ/videos?view_as=subscriber