HABIB HAJI KYOMBO BAADA YA KUPOKEA TUZO YA MCHEZAJI BORA VPL

by Harun, 3 weeks ago.
0

Mchezaji wa Mbao Fc, Habib Kiyombo baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi Desemba, king'amuzi cha Azam Tv na mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja za Kitanzania, aliongea machache na ShutikaliTv.