MANARA: NDIYO SIMBA ITASAJILI ILA HATUFANYI KAMA WAO

by Harun, 7 months ago
0

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amewapiga dogo wapinzani wao wa jadi kwa kusema kuwa ni kweli Simba itafanya usajili lakini haiwezi kuwaiga wao.