Habari Za Michezo

(VIDEO) HARUNA CHANONGO AZUNGUMZIA KUWANIWA NA YANGA, ASAINI MKATABA MPYA

(VIDEO) HARUNA CHANONGO AZUNGUMZIA KUWANIWA NA YANGA, ASAINI MKATABA MPYA

Habari za Kitaifa 18 July 2018
Kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Haruna Chanongo amezungumza kuhusu mkataba mpya aliosaini na ameizungumzia Yanga ambayo imekuwa ikitajwa kumuwani...
Readmore
HIZI NDIYO TAARIFA ZA MKWASA KUJIUZULU YANGA, SABABU NI…

HIZI NDIYO TAARIFA ZA MKWASA KUJIUZULU YANGA, SABABU NI…

Habari za Kitaifa 18 July 2018
Inaelezwa kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa anatarajiwa kukabidhi barua ya kuachia madaraka hayo klabuni hapo sababu ikidaiwa kuwa ni...
Readmore
AZAM TV YATOA NENO KUHUSU TAARIFA ZA WAO KUSITISHA KUONYESHA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

AZAM TV YATOA NENO KUHUSU TAARIFA ZA WAO KUSITISHA KUONYESHA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

Habari za Kitaifa 18 July 2018
Uongozi wa Azam Media kupitia Mkurugenzi wake, Tido Mhando, umeibuka na kutolea ufafanuzi juu ya taarifa zinazoenea kuwa wao hawatoonyesha mechi za Li...
Readmore
VIGOGO WA YANGA, ABBAS TARIMBA, SANGA WAKUTANA WAYAMALIZA KIUTU UZIMA

VIGOGO WA YANGA, ABBAS TARIMBA, SANGA WAKUTANA WAYAMALIZA KIUTU UZIMA

Habari za Kitaifa 18 July 2018
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Abbas Tarimba ameamua kulichukua suala la kuhakikisha Kelvin Yondani na Hassan Kessy wanacheza tena Yanga msimu ujao hi...
Readmore
SIMBA vs YANGA KUKIPIGA SEPTEMBA 30, NI KATIKA LIGI KUU BARA 

SIMBA vs YANGA KUKIPIGA SEPTEMBA 30, NI KATIKA LIGI KUU BARA 

Habari za Kitaifa 18 July 2018
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 2018...
Readmore
VIDEO: DONALD NGOMA AMEULIZWA KUHUSU KUIFUNGA YANGA, AMEJIBU HIVI…

VIDEO: DONALD NGOMA AMEULIZWA KUHUSU KUIFUNGA YANGA, AMEJIBU HIVI…

Habari za Kitaifa 16 July 2018
 Straika wa Azam FC, Donald Ngoma ameulizwa kuhusu klabu yake ya zamani ya Yanga na kusema mambo kadhaa.
Readmore
SAFARI YA EDEN HAZARD KWENDA REAL MADRID IMEKOLEA

SAFARI YA EDEN HAZARD KWENDA REAL MADRID IMEKOLEA

Habari Za Kimataifa 16 July 2018
Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard anasema: "Pengine ni wakati wa kujaribu mambo tofauti baada ya miaka 6 ya kuvutia Stamford Bridge.”
Readmore

Wafungaji Bora VPL

 S/N  JINA  MABAO
1 Emanuel Okwi                 (Simba)   19
2  John Bocco                   (Simba SC)   14
3 Obrey Chirwa                 (Yanga Sc)  12
4 Habib Kiyombo               (Mbao Fc)  9
5 Mohammed Rashid        (T.Prisons)   8
6 Eliud Ambokile              (Mbeya City)  8

Featured Player

homepage-ad2.jpg

Nani atakua mfungaji bora Vpl msimu 2017/2018

Tabiri mfungaji bora wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017/18

  • Donald Ngoma
  • Mbaraka Yusuph
  • Shiza Kichuya
  • Obrey Chirwa
320x480.png

Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom

MSIMAMO WA LIGI.png

Matokeo Live

Facebook Page